Mbunge wa jimbo la Arusha Mh.
Godbless Lema amepandishwa kizimbani katika mahakama kuu kanda
ya Arusha na kusomewa shitaka la uchochezi uliosababisha vurugu
katika chuo cha uhasibu cha Arusha uliopelekea chuo hicho
kufungwa kwa muda usiojulikana .
SEARCH FOR ANYTHING IN THIS BLOG
Monday, 29 April 2013
PICHA MBALIMBALI ZA MATUKIO YA WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA, Mh. Benard Membe leo 29.04.2013 na wanafunzi wa vyuo vya Iringa.
Waziri wa
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw. Benard Membe
leo 29.04.2013,katika ukumbi
wa St.Dominic mjini Iringa,akieleza juu ya mada ya “MAADILI YA UONGOZI KWA
WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU|”,wanafunzi mbalimbali kutoka vyuo vya mjini Iringa
(Ruaha university collage,Tumaini university na Mkwawa university) waliudhuria
kongamano hilo. –habari na simon bango
Baadhi ya wachangiaji wa mada katika kongamano hilo la wanavyuo Iringa wakiwa katika picha ya pamoja na waziri Membe
.
....
Barclays Premier League:matokeo ya jana tar 28.4.2013
Reading | vs | QPR | 0-0 | ||||||||||||
Chelsea | vs | Swansea | 2-0 | ||||||||||||
Arsenal | vs | Man Utd | 1-1 |
Subscribe to:
Posts (Atom)