kaa tayari kwa blog yangu mpya ya fashion JACK255.BLOGSPOT.COM....

SEARCH FOR ANYTHING IN THIS BLOG

Wednesday, 2 October 2013

MAMBO YA MAFULIKO DAR....MBEBAJI ALA KICHAPO NA BOSI WAKE BAADA YA KUMTUPA NDANI YA MAJI–MAGOMENI


Dada akiwa amebebwa alipokuwa akivushwa kwa malipo kwenye dimbwi la maji ya mvua eneo la Magomeni Kagera, Dar es SalaamMbebaji akiwa amemwangusha dada huyo kwenye dimbwiDada akimkunja kijana aliyemdondosha kwenye dimbwi. Wasamaria wema wakimsaidia dada kumtoa kwenye dimbwi

BAADA YA KUMTEMA DIVA SASA PREZZO AHAMIA KWA MTOTO MREMBO WA KICHAGA..MCHEKI HAPA

Inaonekana watoto wa kibongo watamu kweli!!! Baada ya kulipotiwa kutoka na dada zetu kadhaa wa kibongo na juzi kati kusababisha VITA kali kuliko ile ya ALSHABAB kati ya Diva na Huddah sasa hivi RAPCELLENCY EL PRESIDENTE PREZZO aamua kutoka na mtoto wa kichaga anaejulikana kama STALLISHA TILLYA au ChaggaBarbie ambae makazi yake yapo kwa Obama.. Mapenzi hayo yanayoonekana bado mapya mapya yanachukua hatam zaidi Instagram uku baby baby zikiwa nyingi kuliko... Watabiri wa mambo wanaosubili kuona mwisho utakuwaje maana eheheheheh shemej yetu nae ajambo kwelikweli... We love you Kenyans mnakaribishwa na wengine kuja kujichagulia sio Prezzo peke ake, na Kina Diamond mkatuletee mawifi wa kikenya ihihihihh PICHA ZINAJIELEZA!!! okbaiii kwaleo inatosha

DONT MISS T........ARMY NANDO'S PARTY TOUR (5TH OCT 2013)