kaa tayari kwa blog yangu mpya ya fashion JACK255.BLOGSPOT.COM....

SEARCH FOR ANYTHING IN THIS BLOG

Thursday, 6 June 2013

BAADHI YA WASANII WALIOJITOKEZA KUUAGA KWA MARA YA MWISHO MWILI WA ALBERT MANGWAIR


kabla ya wasaa wa kuuaga mwili wa marehemu
Nikijadili jambo na Shilole 
Snura wa majanga akiwa na Doctor cheni
Mwili wa marehem Ngwair ukiwa ndani ya jeneza
tayari kwa taratibu za kuuaga
Kaka mkubwa,pro,Jay akiwa na Mez B,
Member wa kundi  la chamber squad
Madee(kati kati)
Doctor Cheni
ni vigumu kuamini lakini ilinibidi nikubaliane na
 ukweli kuwa kaka angu  kimziki Umeondoka
nenda kwa amani  ....
Comedian,Joti
Stamina
Dada Keisha
Izzo Bizness
Producer Maneck
Mwanamziki,Mad Ice
Nyandu Tozzy
Mama wa Monalisa akiwa uso wa huzuni na uchungu
Dada yangu Monalisa
Kalapina
Lord Eyes(mwenye kofia na tshirt yenye mistali)
Member wa kundi la WEUSI,Joh makini
Abdul Kiba
Kulwa Kikumba(Dude)
Ben pol
Akiri the Brain
Mb Doggy
Dark master aliekaa kati kati akiwa na uso uliotawaliwa na huzuni
 na kutoamini kama mtu wake wa karibu hatomuona tena
Ulinzi wa mbwa nao ulihusika.......


Kaka angu  Fid Q 
ikawa zamu ya Kaka yetu Prof,Jay........
Brnaba boy,Mkubwa Fella na Zolla D

BINTI AFARIKI DUNIA BAADA YA KUPINGWA BUSU NA MWENZAKE


Jemma Benjamini
Kwa mujibu wa mtandao wa telegraph wa Uingereza,
 Msichana  Jemma Benjamini raia wa uingereza ambae alikuwa
 mwanafunzi wa chuo kikuu, alipoteza maisha baada ya kupigwa busu na mwanafunzi mwenzake aliyefahamika kwa jina la Daniel Ross (21) nyumbani kwao na kijana huyo baada ya kutoka kwenye mtoko wa usiku kama marafiki.hiyo ilikuwa ni April 2009
Lakini katika mishemishe za kukaa pamoja
 kwa dakika kadhaa kwenye sofa
 wakibadilishana maelezo kadhaa walijikuta wakikiss taratibu, 
muda mfupi baada ya kiss hiyo Daniel alimuona
 mwenzake analegea taratibu huku macho yake yakiishiwa nguvu na kisha kutulia kabisa.

Hali hiyo ilianza kumtisha kijana huyo ambae anasema 
hawakuwahi kuwa na mahusiano ya mapenzi kabla, na hiyo ilitokea tu wakajikuta wanakiss.
Baada ya hapo alimpigia simu mama yake 
kisha akapiga simu kuomba msaada zaidi wa matibabu 
na ambulance ilifika na kumkimbiza 
hospital ambapo aligundulika kuwa tayari alikuwa ameshafariki. 
Ripoti ya uchunguzi ya daktari ilionesha kuwa 
hakukua na sababu zozote za kimatibabu zilizopelekea kifo chake. Na kwamba kifo cha msichana huyo kimetokana na matatizo 
yanayojulikana kama Sudden Adult Syndrome (SADS), tatizo dogo la moyo linaloaminika kuwauwa watu takribani 500 kila mwaka nchini uingereza.