SEARCH FOR ANYTHING IN THIS BLOG
Thursday, 9 May 2013
MISS SERENGETI- 2013:(MUGUMU-giraffe garden hotel) BAADHI YA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI YA JINSI KINYANG'ANYIRO HICHO KILIVYOKUA
Warembo wakiwa jukwaani siku ya fainali izo zilizofanyika- giraffe garden hotel (mugumu-serengeti)
Warembo wakionyesha vazi la kitenge-made in mugumu-serengeti-Tanzania.
Aliyekua mshindi wa kwanza(miss serengeti-2013 )akiwa na wasanii wa kundi la music wa SwaGGEr D.(YOUNG K. vs SUMASMILE)
H.baba msanii wa kizazi kipya pia alitoa support ya kutosha kwenye fainali izo.
Miss Serengeti 2013 hatimaye alipatikana

Subscribe to:
Posts (Atom)