Picha
za Mazishi ya mwenyekiti wa BAWACHA kata ya Sokoni I Judith William
Moshi, alie fariki kwa mlipuko wa bomu kwenye viwanja vya Soweto jijini
Arusha siku ya kufunga kampeni za chaguzi ndogo tarehe 15.06.2013,
uchaguzi ambao ulikuwa ufanyike tarehe 16.06.2013..
Mwenyekiti
wa Taifa wa chama cha Chadema Freeman Mbowe na mbunge wa Arusha Mjini
Godbless Lema wamejisalimisha wenyewe leo asubuhi katika kituo Kikuu
cha Polisi Mkoani Arusha kwa ajili ya kuhojiwa.