SEARCH FOR ANYTHING IN THIS BLOG
Thursday, 23 October 2014
Thursday, 29 May 2014
Thursday, 22 May 2014
Wednesday, 21 May 2014
Wednesday, 23 April 2014
Shabiki wa Liverpool aliyefuga nywele miaka 11 akiapa kutokata mpaka Liverpool awe bingwa EPL
Shabiki wa mmoja wa klabu ya Liverpool huko nchini Kosovo ameweka kiapo kilichodumu kwa miaka 11 juu ya klabu ya Liverpool.
Shabiki huyo aliyefahamika kwa jina la Ukë
Krasniqi aliweka kiapo cha kutokukata nywele zake miaka 11 – kuanzia
mwaka 2003 mpaka leo hii, akiapa kwamba hatozikata nywele hizo mpaka
pale Liverpool itakapotwaa ubingwa wa Uingereza maarufu kama Barclays
Premier League.
Hivi sasa story hiyo ya raia huyo wa Kosovo
imetengeneza headlines na gazeti la Kosovo Republika.mk, limemfanyia
mahojiano Ukë Krasniqi na haya ndio aliyosema:
“Tangu mwaka 2003 nilianza kufuga nywele zangu…Mpaka sasa
Liverpool imeshinda kila kombe lakini sio Premier League. Sasa
tumekaribia kushinda ubingwa huo. Hata kama tutangazwa mabingwa mapema, nitaendelea kufuga nywele zangu mpaka May 11. Nataka kushangilia na nywele zangu wakati Steve Gerrard atakapobeba kombe kwa mara ya kwanza, kisha baada ya hapo nitakata.”
Hiki ndio kiasi cha fedha alicholipwa David Moyes baada ya kutimuliwa
Siku
moja baada ya kutimuliwa kutoka kwenye kibarua cha kuifundisha klabu ya
Manchester United imefahamika kwamba kocha David Moyes atalipwa fidia
kutokana na klabu hiyo kuvunja mkataba wa miaka sita walioingia mwaka
jana mwezi wa tano.
David Moyes atalipwa fidia ya £5million baada ya kufukuzwa kazi na Manchester United – ikiwa ni kipengele cha makubaliano ya mkataba wake na klabu hiyo.
Katika mkataba wa Moyes na United kulikuwa na kipengele kinachoeleza ikiwa Manchester United ingefeli kufuzu kucheza Champions League msimu huu basi ikatokea United wakaamua kusitisha mkataba wake basi fidia isingezidi mshahara wake wa miezi 12 ambao ni £5million.
David Moyes atalipwa fidia ya £5million baada ya kufukuzwa kazi na Manchester United – ikiwa ni kipengele cha makubaliano ya mkataba wake na klabu hiyo.
Katika mkataba wa Moyes na United kulikuwa na kipengele kinachoeleza ikiwa Manchester United ingefeli kufuzu kucheza Champions League msimu huu basi ikatokea United wakaamua kusitisha mkataba wake basi fidia isingezidi mshahara wake wa miezi 12 ambao ni £5million.
AJALI MBAYA ILIYOTOKEA IRINGA
Sunday, 12 January 2014
HUYU NDIYE MTANGAZAJI ANAMILIKI JUMBA KALI ZAIDI LA HUKO MAREKANI, TAZAMA PICHA
Ellen DeGeneres ndio wanasema mtangazaji anayeishi kwenye jumba kali zaidi huko L.A Marekani. TMZ wame ripoti kuwa jumba hili ni kali na lenye thamani kubwa zaidi kuliko jumba lake la awali alilonunua.
Jumba lake la sasa lina thamani ya dola milioni $39,888,000 na linaitwa The Brody House. Kiwanja kina eka 2.3 , vyumba sita vya kulala, mabafu sita, bwawa la kuogelea , sehemu ya mazoezi na uwanja wa kucheza tennis.
Subscribe to:
Posts (Atom)