kaa tayari kwa blog yangu mpya ya fashion JACK255.BLOGSPOT.COM....

SEARCH FOR ANYTHING IN THIS BLOG

Wednesday, 8 May 2013

SIR ALEX FERGUSON KUSTAAFU KAMA MANAGER WA MANCHESTER UNITED


Manager wa timu ya uingereza Manchester United,  Alex Ferguson anatarajiwa kustaafu baada ya kufanya kazi na timu hiyo kwa zaidi ya miaka 30,club hiyo imetangaza jumatano ya leo
Ferguson mwenye miaka 71 hivi sasa amefanikiwa kusimamia timu hiyo yenye mamilioni ya mashabiki tangu mwaka 1986
katika miaka yaje 26 kama manager wa timu hiyo, alishinda vikombe 30 pamoja na vikombe vikubwa 13 
Ferguson ataachia nafasi hiyo baada ya game ya mwisho ya club hiyo  kwa msimu huu ambayo itakuwa ni mechi kati yao na  Manchester United.
haijajulikana bado nani atakae mrith kiti hicho
@pincode presenter
 

No comments: