Baada ya taarifa kuzushwa kuwa
Mwanamuziki wa asili, Saida Karoli amefariki katika ajali ya meli habari
za uhakika ni kuwa Saida Karoli wala hayuko mahala popote jirani na
Ziwa Victoria.
Baada ya kuweko Dar es Salaam wiki iliyopita, Saida na kundi lake walikodishwa na kuelekea Makongorosi Chunya mahala aliko mpaka asubuhi hii.
Baada ya kuweko Dar es Salaam wiki iliyopita, Saida na kundi lake walikodishwa na kuelekea Makongorosi Chunya mahala aliko mpaka asubuhi hii.
Saida Karoli anasema "sina mpango wowote wa kufa hivi karibuni".
MUNGU AMUONGEZEE SIKU NYINGI ZENYE FARAJA KATIKA MAISHA YAKE
No comments:
Post a Comment