SEARCH FOR ANYTHING IN THIS BLOG
KIM KARDASHIAN AJIFUNGUA MTOTO WA KIKE
Rapper Kanye west na Mpenzi wake Tv Star Kim Kardashian
alfajiri ya tarehe 15 june walikuwa wenye furaha zaidi
baada ya Kim mjamzito kujifungua
alfajiri ya tarehe hiyo Ingawa
hakuna kati yao aliyeweka bayana kwa jambo ilo....
Ila habari kutoka kwa familia ya Kim iliweka wazi baada ya
Tweet ya Dada wa Kim aitwae Khloe
kutweet kuwa ni wenye furaha sana baaada ya kim kujifungua s
alama,ni mtoto wa kike chii akiendelea kuomba
familia ipewe muda wa pekee awatopenda kuingiliwa kwa chochote
mpaka taharifa kutoka kwa familia..
Pia tweet kutoka kwa Mama wa Kim aliandika ''Nafuraha sana
hapa nilipo imetimia ndoto yangu...!!
Ingawa bado picha ya mtoto huyo aijawekwa kwenye mtandao
kuonekana anafananaje......
Kim aliejiskia uchungu ghafla iliwabidi kumkimbiza hospital
kujifungua alfajiri ya tarehe 15...
Rapper Kanye west akuwepo usiku huo wa mpenzi wake
akijifungua alikua jijini
New York kuitangaza Album yake Mpya ya 'YEZUS'....
No comments:
Post a Comment