SEARCH FOR ANYTHING IN THIS BLOG
PICHA ZA MAZISHI YA WAHANGA WA MLIPUKO WA BOMU ARUSHA
Picha
za Mazishi ya mwenyekiti wa BAWACHA kata ya Sokoni I Judith William
Moshi, alie fariki kwa mlipuko wa bomu kwenye viwanja vya Soweto jijini
Arusha siku ya kufunga kampeni za chaguzi ndogo tarehe 15.06.2013,
uchaguzi ambao ulikuwa ufanyike tarehe 16.06.2013..
No comments:
Post a Comment