Hii ilikuwa tarehe 1/7/2013 kwenye Tuzo za Kituo cha Televisheni
Maarufu Dunia kama B.E.T AWARD
inayofanyika kila mwaka..... Hapa tunawangalia wasaani hawa toka Uganda nawazungumzia
Goodlife..... Radio & Weasel waliokuwepo kutoka East Africa
wakiwa kwenye Kinyang'anyiro
cha Tuzo moja wapo kati ya tuzo 28 za B.E.T.....
No comments:
Post a Comment