Gari
aina ya Brabus ambayo inayomilikiwa na mmiliki wa klabu ya Manchester
City ya England, imeonekana leo Dar es Salaam, lakini ni mali ya Yussuf
Bakhresa, mtoto wa bilionea Mtanzania, Alhaj Sheikh Said Salim Awadh
Bakhresa. Vyanzo vimesema Yussuf alitoa oda maalum kutengenezewa gari
hili na thamani yake jumla si chini ya dola za Kimarekani 500,000.
Hii hapa mali ya Yussuf Bakhresa |
Huyu jamaa ndiye anayeendesha gari la hili la mtoto wa Bakhresa |
Angalia alivyotulia ndani ya mzigo wa dola 500,000 |
No comments:
Post a Comment