SEARCH FOR ANYTHING IN THIS BLOG
Tuesday, 3 December 2013
Wednesday, 9 October 2013
HATIMAYE...AGNESS MASOGANGE AMETUA BONGO KUTOKA AFRIKA KUSINI
Ikiwa ni wiki chache toka kesi ya video vixen Agnes Gerald a.k.a Masogange ya kutuhumiwa kusafirisha dawa za kulevya kuisha kwa kulipa faini nchini Afrika Kusini na kuwa mtu huru, hatimaye jana Jumanne amerejea nyumbani Tanzania.
Kupitia Instagram jana Agnes alipost picha (hapo juu) akiwa uwanja wa ndege na kuandika “am cmng homeeeeeeeee”.
Mwishoni mwa mwezi uliopita (September) mrembo huyo aliachiwa huru pamoja na mdogo wake Melissa Edward ambaye mahakama ya Kempton ya jijini Johannesburg,
NI BALAAA....HILI NDO GARI JIPYA LA MTOTO WA BAKHRESA LINAUZWA ZAIDI YA MILIONI 700..SPECIAL KWA AJILI YAKE..
Gari
aina ya Brabus ambayo inayomilikiwa na mmiliki wa klabu ya Manchester
City ya England, imeonekana leo Dar es Salaam, lakini ni mali ya Yussuf
Bakhresa, mtoto wa bilionea Mtanzania, Alhaj Sheikh Said Salim Awadh
Bakhresa. Vyanzo vimesema Yussuf alitoa oda maalum kutengenezewa gari
hili na thamani yake jumla si chini ya dola za Kimarekani 500,000.
![]() |
| Hii hapa mali ya Yussuf Bakhresa |
![]() |
| Huyu jamaa ndiye anayeendesha gari la hili la mtoto wa Bakhresa |
![]() |
| Angalia alivyotulia ndani ya mzigo wa dola 500,000 |
Subscribe to:
Posts (Atom)




