Katika majina ya wasanii waliotajwa leo hii kuwania tuzo za Kili 2013, Ommy Dimpoz ameonekana kuongoza kwa kuchaguliwa katika categories 6, akifatiwa na Ben Pol ambae amechaguliwa katika sehem 5 tofauti, Mwasiti 4 na Kala Jeremiah 4.
Mwaka huu pia mabadiliko yameonekana pale walipoamua kuongeza categories kutoka 24 zilizokuwepo mwaka jana, mpaka kufikia 37 mwaka huu .
No comments:
Post a Comment