Msanii wa hiphop Songa yuko mbioni kuachia pini jipya "Illmathematix" akiwa kamshirikisha Identity na One the incredible.Juma tano ijayo baada ya mapumziko ya hollyday ndefu kidogo Songa atai bless for the first time kwa radio stations kwa ajili ya kufurahisha na kufundisha akili yako.
No comments:
Post a Comment