OMMY DIMPOZ akifanya vitu vyake
Poz kwa Poz akifanya vitu vyake
Maana ya TUPOGO = TUPO NA TUNA GO maisha yanakwenda mbele
Super Promoter DMK Akipata Interview ya Swahili TV na Ommy Dimpoz back stage kabla ya kupanda jukwaani.Mbali na Kuwa Mkurugenzi wa DMK Global Promotions huyu Ndugu pia ni Mkurugenzi wa MMK Media Group,Kampuni ambayo inamiliki Swahili Radio Online,Swahili TV online,na Blog hii ya Swahilitv Blog.
MR "DMK" akipata Ukodaki na Warembo ..Pia DMK alisherekea Bday Yake siku hiyo hiyo
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA SWAHILITV.BLOGSPOT.COM
No comments:
Post a Comment