MAMBO YA MAFULIKO DAR....MBEBAJI ALA KICHAPO NA BOSI WAKE BAADA YA KUMTUPA NDANI YA MAJI–MAGOMENI
Dada akiwa amebebwa alipokuwa akivushwa kwa malipo kwenye dimbwi la maji ya mvua eneo la Magomeni Kagera, Dar es SalaamMbebaji akiwa amemwangusha dada huyo kwenye dimbwiDada akimkunja kijana aliyemdondosha kwenye dimbwi.Wasamaria wema wakimsaidia dada kumtoa kwenye dimbwi
No comments:
Post a Comment