Baadhi ya Crew yangu ya WCB wakiwa kwenye pantoni,Jijin mwanza wakielekea mkoani Geita,the president nilikuwa nimwshatangulia mapema |
Nikiwasili eneo la tukio |
Nikiongoza siraha zangu kuwapa haki yao wana Geita |
Kama wewe siyo mtu wa mazoezi,dont try this at home.ha ah ha..Rama Tonsa akionyesha manjonjo yake |
Kwa deck,RJ na Qboy msafi |
Nani ananunaa hapa? |
Thanx for that love watu wangu wa Geita |
Mda wetu wa kulewa sasa.........mapenzi mabaya sana jamani..na mtu akishajuwa anapendwa huwa anajishauwa sanaaaaaa!! |
Huyu Dogo alichukua nafasi ya True boy,Geita kuna bwana am telling you. |
No comments:
Post a Comment