Wananchi wakiwa wamekusanyika katika gesti ya Uroda alipofia jamaa huyo.…
Mwili wa jamaa huyo ukiwa katika difenda.
Jamaa
mmoja ambaye hakujulikana jina lake leo amekutwa amekufa katika gesti
bubu iitwayo Uroda iliyopo Manzese Midizini jijini Dar. Kwa mujibu wa
mashuhuda waliokuwa eneo la tukio ni kwamba marehemu alikuwa na mpenzi
wake ambaye waliingia wote katika gesti hiyo lakini alikutwa jamaa peke
yake. Mwili wa marehemu umepelekwa na polisi kwa uchunguzi zaidi.