PICHA YA MWILI WA MUME WA MALKIA WA MIPASHO YA TAARAB, KHADIJA KOPA KUZIKWA MUDA HUU BAGAMOYO.
Wakazi wa mtaa wa Magomeni wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa mume
wa Khadija Kopa, Jafary Ally ambaye ni Diwani wa CCM kata ya Magomeni
wakati wakielekea makaburi kwa ajili ya shughuli za mazishi.