ILI
kutambua na kuthamini mchango wa wanawake katika maendeleo ya jamii
yetu, Kampuni ya Global Publishers and General Enterprises Limited,
inatoa tuzo kwa mwanamke ambaye katika maisha yake amefanya mambo mengi
zaidi ambayo yameinufaisha jamii na kuboresha maisha ya watu. Chagua
jina moja la mwanamke unayemwona anafaa kutwaa tuzo ya “The Woman Of The Year”. KUPIGA KURA, LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK HAPA: GPL KISHA PIGA KURA YAKO
No comments:
Post a Comment