kaa tayari kwa blog yangu mpya ya fashion JACK255.BLOGSPOT.COM....

SEARCH FOR ANYTHING IN THIS BLOG

Thursday, 3 October 2013

Ulimiss kuisoma barua aliyoandikiwa Shilole na mwanae?, basi isome hapa



SHILOLE

“I miss you so much mom and I love so much you mother. Since I go to school I was worried about”, haya ni baadhi ya maneno ambayo ameandika mtoto wake Shilole.Bila kujali kupatia au kukosea kuandika kwa lugha aliyotumia, kitu kikubwa ni mapenzi kati ya mama na mwanae. Barua hii aliandika mtoto wa Shilole kumuachia mama yake nyumbani. Shilole anasema aliikuta hii barua alivyorudi kutoka Fiesta Mwanza na mwanae akiwa ameenda Shuleni. Cheki picha ya barua yenyewe na usisome yote hapa

SHILOLE2

No comments: