The most awaited video kutoka kwa wakongwe wawili nchini Fa na Ay, "Bila Kukunja Goti" inatarajiwa kutoka siku
yoyote kuanzia kesho. Video hiyo ilifanyika nchini
South Africa chini ya kampuni ya Godfather na kwa mujibu wa maelezo ya
Ay na Fa, tayari wameshakamilisha process ya kuzisambaza katika vituo
vikubwa vya television kama Trace, Mtv Base, Channel O pamoja na Sound
City na video hiyo imepitishwa tayari kwa kuchezwa baada ya kuoneka
kufikia viwangi vyao.
No comments:
Post a Comment