SEARCH FOR ANYTHING IN THIS BLOG
BREAKING NEWZZZ.....MSANII WA BONGO FLEVA MACK MALIK WA WATEULE AFARIKI DUNIA LEO
MACK MALIK SIMBA wa WATEULE amefariki dunia Leo Asubuhi...
Kama ndugu, rafiki na jamaa 2nakomba uwajuze wote wasiofahamu...
Msiba upo YOMBO MAKARAWE kituo kinaitwa ABIOLA.....
R.I.P Simba.....
No comments:
Post a Comment