Inavyoonekana ni kuwa Cocaboy kama anavyojiita siku hizi, amenunuliwa gari jipya na wadhamini wake kampuni ya vichwaji ya Cocacola.
“Ya all ready know what it’s….. tukutane Fuel station!! #CocaCola Mumetishaaaaaa,” aliandika jana kwenye picha ya Instagram ya gari hilo likiwa na maganda yake.
“Chatin infront of my Small baby… on @channeloafrica interview at my clib,” aliongeza.
Siku nzima ya juzi, hitmaker huyo wa Kesho alikuwa busy kwenye interview na kituo cha runinga cha Channel O.