Mwili wa Marehemu Ngwair utawasili leo jijini Dar Es Salaam na kuagwa na fans, marafiki na ndugu katika viwanja vya leaders club, kinondoni kabla ya safari ya kwenda Morogoro, ambapo atazikwa huko karibu kabisa na kaburi la baba yake mzazi …
R.I.P Albert Mangweha.
Shughuli ya kuaga mwili wa mangwea nchini South Africa..... |