Msanii Mchizi Mox akiwa mbele kabisa wakati mwili umewasili uwanja wa ndege wa J.K NYERERE AIRPORT.... |
Baadhi ya wasanii na waandishi wa habari wakiteta jambo wakati wakisubiri mwili.... |
Msanii Madee toka Tip Top Connection akihojiwa na kituo kimoja cha Television uwanjani hapo... |
Lamar Niekamp Producer wa Fishcrab kushoto na Proffesor J walikuwepo kuupokea mwili wa Ndugu yetu Albert Mangweha.....!! |
Hapa Mwili ndio ulikuwa unatoka ndani ya uwanja wa ndege..... |
Mwili ukiwa umekabidhiwa kwa wahusika tayari kwa kuelekea Hospitali ya Taifa Muhimbili.... Umati wa watu ulivyofurika kupokea mwili wa ndugu yetu Albert Mangweha.... |