Mmoja
wa washabiki wa muziki wa kizazi kipya ambaye alivaa vazi lililoacha matako nje....
Shabiki huyo alipanda jukwaani kumkumbatia
msanii maarufu nchini , Ommy Dimpoz wakati alipokuwa akitoa burudani
katika mashindano ya Redds Miss Tabora.
Tukio hilo la aibu lilitokea mbele ya wabunge....
Mbunge
wa Jimbo la Sengerema Bw.William Ngereja akiwa na Diwani wa kata ya
Kitete manispaa ya Tabora Bw.Daniel Mhina ambaye alikuwa MC katika
onesho hilo lililofanyika katika ukumbi wa Frankman Hotel mjini Tabora.
Ommy Dimpoz akitokwa na machozi wakati akitumbuiza jukwaani alipofikia hatua ya kumkumbuka marehemu msanii maarufu Mangwea.
Ommy Dimpoz alionesha kukubalika zaidi katika onesho hilo
Mbunge
Ngereja akiwa na mbunge wa vitimaalum mkoani Tabora wakijaribu kucheza
kwa pamoja muziki uliokuwa ukiimbwa na Ommy Dimpoz.
Redds Miss Tabora 2013 Annastazia Donald(19)ambaye ni mwanafunzi wa Theofil Kisanji University,kushoto ni mshindi wa pili katika kinyang'anyiro hicho Sabrina Juma(18) kutoka chuo cha African Utalii na mshindi wa tatu ni Cornecia Cossei(21)kutoka chuo cha Utumishi wa Umma Tabora.