NI AJABU NA INASTAJABISHA: Mchangamle kizimkazi,walikusanyika na kumshanga samaki huyu wa ajabu ambae wavuvi na wakazi wa maeneo hayo hawakuwahi kumwona,maana samaki huyu aelewiki ni CHUI,DUMA au ni nini.... Nikaona nisistajabike mwenyewe nikuweke hapa wewe mpitiaji wa pincode presenter upate kujua yanayoendelea Dunia.....kwangu mimi ni ajabu sijawahi kuona kiumbe kama hicho..... |