kaa tayari kwa blog yangu mpya ya fashion JACK255.BLOGSPOT.COM....

SEARCH FOR ANYTHING IN THIS BLOG

Thursday 18 April 2013

KILICHOANDIKWA NA GLOBAL GRIND KUHUSU MTANZANIA FLAVIANA MATATA NA HIZI PICHA ZAKE MPYA.





http://millardayo.com/wp-content/uploads/2013/04/112.png..
 Global Grind (globalgrind.com) ni moja ya tovuti za Marekani zenye wingi wa watu na zilizo na uhodari wa kupasha watu habari ambapo time hii Mwanamitindo Mtanzania Flaviana Matata anaefanya kazi na kuishi New York amechukua nafasi kubwa kwenye headlines kama unavyoona hapa.
 .

THE MAKING OF MUZIKI GANI VIDEO (PICTURES)

      New Africa Hotel ilikua sehemu ya kwanza kushoot


RUAHA UNIVERSITY COLLAGE:katikaza and Nkembo mens hostel environment



kama ulishawahi kufika RUCO basi lazma utakua unazjua hostel hizi maarufu kwa uchinjaji@pincode 

FILAMU MPYA YA THE LATE' KANUMBA NA SHARO MILLIONARE SASA IKO MADUKANI PATA NAKALA YAKO SASA

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiyFxnb4Gx1s7m4Boy06H1P46Rkd4N7Dx9QEQOmLk8jpTAiy9Krxv3n9HAWaseHLYD6Qtvt7C9cqR6pKWtJpiNwyIBaSemhWpOxFA6lncR0W0XToW7xVeIylkRs6WJV9nUEhNtKxgs_mBnw/s1600/Untitled.jpg

WHATS AMAZING ABOUT BILL GATES,FOUNDER OF MICROSOFT


SIMON also design logo



and this is one of the logo designed by pincode(simon)

TAARIFA ZA MWISHO KUZIPATA KUHUSU MSIBA WA BIBI KIDUDE ZNZ

Mtangazaji Sakina wa Clouds TV ameongea na millardayo.com akiwa Zanzibar sasa hivi Msibani kwa Msanii wa siku nyingi Bibi Kidude na hapa namkariri akisema “Anatarajiwa kuzikwa kesho April 18 2013 Zanzibar saa saba mchana pembeni ya kaburi la Baba yake , japo kuna habari za chini ambazo bado hazijathibitishwa kwamba kuna uwezekano akaagwa kwanza kwenye Uwanja wa Karume alafu azikwe saa kumi jioni” “Bibi Kidude hakuwahi kupata mtoto lakini nimekutana na kijana mmoja aitwae Baraka ambae kwa sasa umri umekwenda kidogo, anatambulika kama ndio mwanae Bi Kidude kwa sababu alimlea toka akiwa na miezi mitatu, japo maziwa yalikua hayatoki, imefahamika aliwahi kumnyonyesha ziwa lake” – Sakina
Kwa kumalizia, Sakina anasema “Baraka akiwa na umri wa miaka 13 ndio aligundua kwamba Bibi Kidude ni shangazi yake, baba Baraka alimpa Bi Kidude Baraka baada ya kuona hakuwa amepata mtoto, hapa kwenye msiba watu ni wengi sana na inakua ngumu kwa mgeni kujua ni nyumba ipi yenye msiba”


USILOLIJUA KUHUSU JUSTINE BEIBER

Utafiti uliofanywa kwa mashabiki wa mwanamuziki Justin Bieber umeonyesha kuwa mashabiki wanne kati ya watano ambayo ni sawa na asilimia zaidi ya 90 wanakumbuka majina ya nyimbo zake zote na hata mashairi 
lakini hawakumbuki jna la mji mkuu wa Iraq.