Warembo wanaoshiriki shindano la Redd's
Miss Kigamboni wakiwa kwenye mazoezi kwa ajili ya kujiandaa na
kinyang'anyiro hicho kitakachofanyika Ijumaa Juni 7 mwaka huu kwenye
ukumbi wa Navy Beach ulioko Kigamboni.
Msanii
maarufu wa kimataifa wa muziki wa kizazi kipya CPwaa ateuliwa na
kampuni ya bia Heineken Tanzania kusimamia michuano ya mpira wa mezani
(Foosball) pamoja na kutangaza na kuhamasisha mchezo huo wakati wa
mashindano ambayo ni endelevu.Mpango huo ulikamilishwa kati ya kampuni
ya Brainstormmusic & Media Co. Ltd na Heineken Tanzania Limited
Sharon
Mariwa Meneja Muenezi Biashara Brainstormusic, Caroline Kakwezi, Meneja
Masoko wa Heineken Tanzania, Uche Unigwe – Mkurugenzi Mkuu wa Heineken
Tanzania, kulia Cpwaa na Ronald Louis Meneja Opereshini wa
Brainstormusic.
Sharon
Mariwa Meneja Muenezi Biashara Brainstormusic, Caroline Kakwezi, Meneja
Masoko wa Heineken Tanzania na Uche Unigwe – Mkurugenzi Mkuu na Cpwaa
msanii maarufu wakishikana mikono na Mkurugenzi wa Heineken Tanzania
baada ya kusaini mkataba wa kuteuliwa kuwa msimamizi na MC wa michuano
ya mpira wa mezani (Foosball) kulia ni Ronald Louis Meneja Opereshini wa
Brainstormusic.
CECAFA 2013 GROUP A; Merriekh El Fasher (Sudan), Simba (TZ), Al Mann (Somalia) & APR (Rwanda). GROUP B; Hilal Kadougli (Sudan), Ahli Shandi (Sudan), Al Nasr (S.Sudan), Tusker (Kenya) & Super Falcon (Zanzibar) GROUP C; Yanga (Tanzania), Express FC (Uganda), Vitalo (Burundi) & AS Port (Djibouti).