kaa tayari kwa blog yangu mpya ya fashion JACK255.BLOGSPOT.COM....

SEARCH FOR ANYTHING IN THIS BLOG

Sunday 28 April 2013

SONGA SOON KUTOKA NA ILLMATHEMATIX


 Msanii wa hiphop Songa yuko mbioni kuachia pini jipya "Illmathematix" akiwa kamshirikisha Identity na One the incredible.Juma tano ijayo baada ya mapumziko ya hollyday ndefu kidogo Songa atai bless for the first time kwa radio stations kwa ajili ya kufurahisha na kufundisha akili yako. @pIN coDe

OMMY DIMPOZ AONGOZA KINYANG'ANYIRO TUZO ZA KILI 2013


Katika majina ya wasanii waliotajwa leo hii kuwania tuzo za Kili 2013, Ommy Dimpoz ameonekana kuongoza kwa kuchaguliwa katika categories 6, akifatiwa na Ben Pol ambae amechaguliwa katika sehem 5 tofauti, Mwasiti 4 na Kala Jeremiah 4.
Mwaka huu pia mabadiliko yameonekana pale walipoamua kuongeza categories kutoka 24 zilizokuwepo mwaka jana, mpaka kufikia 37 mwaka huu .








Jana na Leo Young Killa feat stamina na quick racka

BONGE YA JOINT: JANA NA LEO / YOUNG KILLER FEAT STAMINA NA QUICK RACKA


 Ikiwa bado ngoma yake "Dear Gambe" bado inafanya vizuri kaika chati mbali mbali, leo hii Young Killer, msanii anae wakilisha Mwanza, amedondosha boooonge moja la pini ikiwa ni kolabo na Stamina na Quick Racka akiwa ameshikilia chorus, mkono wa producer D classic na Mona Gangsta.

Fally Ipupa - Hustler is Back(NEW OFFICIAL VIDEO 2013)

HII HAPA NGOMA MPYA YA D BANJ NA KANYE WEST

Baada ya matokeo ya jana huu hapa msimamo mpya: BARCLAYS PREMIER LEAGUE

.

Barclays Premier League: ratiba ya leo Jumapili 28.04.2013

ReadingvsQPRMadejski Stadium15:30pm










ChelseavsSwanseaStamford Bridge16:00pm

ArsenalvMan UtdEmirates Stadium17:00pm