kaa tayari kwa blog yangu mpya ya fashion JACK255.BLOGSPOT.COM....

SEARCH FOR ANYTHING IN THIS BLOG

Saturday 1 June 2013

SASA UNAWEZA KUISIKILIZA CLOUDS FM LIVE ON AIR KUPITIA simonbango.blogspot.com & irypine.blogspot.com KOKOTE DUNIANI

Full Interview P-Funk Akizungumzia Kifo Cha Marehemu Albert Mangwair na KUHUSU CLOUD Fm

Producer Mswaki Aimba kama Ngwear Kumuenzi-Sikiliza Wimbo Hapa...New Ngwear In the Making..DOWNLOAD HAPA

NECTA yatangaza Matokeo Kidato cha SITA (ACSEE 2013)! Angalia HAPA kwa URAHISI ZAIDI






.                    BONYEZA HAPA,KUANGALIA MATOKEO

DIAMOND AENDELEA KUWEKA WAZI MAISHA YAKE YA KIMAPENZI, HIKI NDO ALICHOKISEMA. SOMA HAPA

Mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, ameibuka na kuelezea kuhusu uhusiano wake na mpenzi wake zilipendwa, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ ambaye ni mwigizaji na modo moto wa kuotea mbali Tanzania
Akizungumza kwa uhakika kabisa, Diamond alisema inampasa amuombe radhi Jokate kwa sababu katika uhusiano wao, Jokate hakuwahi kumkosea ila yeye ndiye tatizo na chanzo cha kuachana
kwao.
DIAMOND ANAFAFANUA

“Inanipasa nimuombe radhi Jokate. Ni kweli nilimtenda vibaya wakati wa mapenzi yetu. Hakukosea sana maana hakuwahi kufanya jambo lolote kinyume. Sijui niseme nini lakini nataka kueleza wazi kuwa mimi ndiyo sababu ya kuachana kwetu na ilitokea tu.

“Naamini hilo jambo lilimuuma sana, maana nakumbuka wakati ule, baada ya mimi kurudi kwa Wema (Sepetu), watu walimwandama sana kwa maneno na alionekana msaliti lakini ukweli ni kwamba nilimpenda sana lakini ndiyo hivyo, siwezi kufafanua zaidi.

“Kutoka moyoni mwangu, namuomba msamaha Jokate, kama hatanisamehe nitaendelea kumuomba mpaka naingia kaburini. Sina raha kabisa kutokana na jambo hilo. Lazima niwe mkweli.”

JACQUELINE WOLPER

Diamond alikwenda mbali zaidi na kuwazungumzia baadhi ya wasichana aliowahi kutoka nao kimapenzi akiwemo mwigizaji Jacqueline Wolper ambaye alisema ni mwanamke aliyempenda sana, ndiyo maana alimtungia wimbo wa Mawazo.

PENNY SASA

Kwa upande wa mpenzi aliye naye sasa, Mtangazaji wa Runinga ya DTV, Penieli Mungilwa ‘Penny’ alisema ni mwanamke mtulivu na sahihi kwake kwa sababu anatambua majukumu yake kwake, pia anamheshimu.

“Huyu kwa kweli ana karibu sifa zote alizonazo Wema ila uzuri wa Penny ananiheshimu sana. Hafanyi mambo yake hadharani. Unajua wakati nikiwa na Wema hata kama akifanya mambo yake siku mbili au tatu baadaye nayaona kwenye magazeti, tofauti na Penny ambaye kwangu mimi naona ananiheshimu, hata kama anafanya mambo yake ni kwa siri.”Chanzo:www.globalpublishers.info

MISS Tanzania mwaka 2000 AMTAJA REGINALD MENGI KUWA NDIYE BABA WA WATOTO WAKE MAPACHA ALIO JIFUNGUA,SOMA ALICHOKIANDIKA

[clip_image001%255B5%255D.png]
clip_image002

HUYU NDO MSHIRIKI WA BBA KUTOKA ZIMBABWE ALIYE CHEZA MKANDA WA NGONO.....WANANCHI WAMEJIPANGA KUMNG'OA


Mshiriki wa shindano la Big Brother Africa Chase kutoka nchini Zimbabwe Nare Pokello amejikuta katika kashfa kubwa baada ya mkanda wake wa ngono kuvuja siku chache tu baada ya yeye kuingia ndani ya jumba la BBA.

 kashfa hiyo ambayo sasa ndio habari ya mjini imezagaa  katika  kurasa kadhaa za Facebook huku mashabiki wengi kutoka nchini kwake wakisistiza watu wampigie kura ya kumng'oa  Pokello nje ya jumba hilo  . 

Mashabiki hao wametengeneza ukurasa hivi karibuni, ambao unashinikiza watu wapige kura za kumng'oa Pokello katika jumba hilo la BBA, Ukurasa huo ulioundwa wiki hii mpaka sasa tayari una zaidi ya wafuasi zaidi ya 4 000.
Katika video hiyo ya ngono, Pokello na mpenzi wake "Desmond Chideme " maarufu kama Stunner wanaonekana wakifanya ngono bila kutumia kinga.

Video hiyo ambayo ilirekodiwa kwa kutumia simu ya iphone na kubadilishwa kwenda kwenye fomati ya avi ilivuja baada ya boyfriend wa pokello kuitoa video hiyo na kumpa rafiki yake wa karibu huku akijisifu.

Katika video hiyo, Stunner anaonekana akizungumza mbele ya kioo cha kamera huku Pokello akiwa anatabasamu.


video mwishoni inamwonyesha, Pokello akiwa ana ananyonya uume wa Stunner huku Stunner akisema 'wewe msichana ni kituko'.

Chanzo kimoja kilisema Pokello alivujisha video yake mwenyewe na kudai kama siyo yeye aliyevujisha ni Kwa nini alikubali kufanya hivyo kama hawakuwa na nia ya watu kuiona?

BARUA KUTOKA KAMATI YA MAANDALIZI YA MAZISHI YA ALBERT MANGWEA

FULL VIDEO: MUZIKI GANI KAMA ULIKOSA LAUNCHING YAKE MAISHANI UNAWEZA KUONA HAPA