![]() |
| Msanii Mchizi Mox akiwa mbele kabisa wakati mwili umewasili uwanja wa ndege wa J.K NYERERE AIRPORT.... |
![]() |
| Baadhi ya wasanii na waandishi wa habari wakiteta jambo wakati wakisubiri mwili.... |
![]() |
![]() |
| Msanii Madee toka Tip Top Connection akihojiwa na kituo kimoja cha Television uwanjani hapo... |
![]() |
| Lamar Niekamp Producer wa Fishcrab kushoto na Proffesor J walikuwepo kuupokea mwili wa Ndugu yetu Albert Mangweha.....!! |
![]() |
![]() |
| Hapa Mwili ndio ulikuwa unatoka ndani ya uwanja wa ndege..... |
![]() |
| Mwili ukiwa umekabidhiwa kwa wahusika tayari kwa kuelekea Hospitali ya Taifa Muhimbili.... Umati wa watu ulivyofurika kupokea mwili wa ndugu yetu Albert Mangweha.... |























