kaa tayari kwa blog yangu mpya ya fashion JACK255.BLOGSPOT.COM....

SEARCH FOR ANYTHING IN THIS BLOG

Monday 29 April 2013

Mbunge wa jimbo la Arusha Mhe Godbless Lema aachiwa kwa dhamana...


Mbunge wa jimbo la Arusha Mh. Godbless Lema amepandishwa kizimbani katika mahakama kuu kanda ya Arusha na kusomewa shitaka la uchochezi uliosababisha vurugu katika chuo cha uhasibu cha Arusha uliopelekea chuo hicho kufungwa kwa muda usiojulikana .

PICHA MBALIMBALI ZA MATUKIO YA WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA, Mh. Benard Membe leo 29.04.2013 na wanafunzi wa vyuo vya Iringa.



Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw. Benard Membe     leo  29.04.2013,katika  ukumbi  wa St.Dominic mjini Iringa,akieleza juu ya mada ya “MAADILI YA UONGOZI KWA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU|”,wanafunzi mbalimbali kutoka vyuo vya mjini Iringa (Ruaha university collage,Tumaini university na Mkwawa university) waliudhuria kongamano hilo. –habari na simon bango

 Baadhi ya  wachangiaji  wa mada katika  kongamano  hilo la  wanavyuo  Iringa  wakiwa katika  picha ya pamoja na waziri Membe
.
....

LORD EYES FEAT BEN POL -NO MORE DRAMA (BABA LA BABA)

tanzania best rappers toka kitambo



         fid q

        joh makin
 
g nako

     chid benz

      pro. jay
 
     lord eyez

NAKAAYA ft. Dunga - UTUUZIMA DAWA

wiz khalifa akiwa na mtoto wake

.

New song:Snura - Majanga

Diamond new song MAPENZI GANI,ngoma inayosemekana sio official release kutoka kwa diamond mwenyewe


new song from Recho: Mwali Kigego

new song:young killer ft stamina,quick racka

Barclays Premier League:matokeo ya jana tar 28.4.2013

ReadingvsQPR0-0











ChelseavsSwansea2-0


Arsenalvs Man Utd1-1