kaa tayari kwa blog yangu mpya ya fashion JACK255.BLOGSPOT.COM....

SEARCH FOR ANYTHING IN THIS BLOG

Friday 3 May 2013

Serikali yafuta matokeo ya kidato cha 4 ya mwaka 2012.

MATOKEO KIDATO CHA NNE-2012 KUPANGWA UPYA



National Examination Council of Tanzania (N.E.C.T.A)

Serikali imetangaza uamuzi wa kupanga upya matokeo ya kidato cha nne ya 2012. Uamuzi huo umetangazwa mapema leo bungeni na Waziri William Lukuvi, kwa niaba ya Waziri Mkuu. Uamuzi umetokana na kamati ya waziri mkuu iliyokuwa inachunguza kuhusu matokeo hayo kubaini kuwa matokeo hayo yalipangwa kwa utaratibu tofauti na uliokuwa unatumika zamani.

Tetesi za awali zilieleza kwamba matokeo hayo yalipangwa kwa kuzingatia madaraja haya hapa chini, japo Baraza la Mitihani lilikanusha baadaye kwa kusema kuwa taarifa hizo hazikuwa za kweli:

A = 80%-100%-
B = 65%-79%-
C = 50%-64%-
D = 35%-49%-
F = 0%-34%-

Tume ya Waziri Mkuu imebaini kutumika kwa madaraja tofauti na uataratibu wa awali. Hivyo basi, matokeo yaliyotangazwa hayatatumika tena mpaka yaje yaliyopangwa upya. HakiElimu itatoa taarifa rasmi baadaye kuhusu uamuzi huu wa serikali.

Kila la kheri.

MATCH REPORT: CHELSEA VS BASEL MAY 2 2013,






 

nEW TANZANIAN ARTIST :dogo ngwangi -bwii

HEMEDY PHD FT BLUE-REST OF MA LIFE;kwa wasiojua ni copy kutoka kwa hit song ya bruno mars-for the rest of my life

May D - So Many Tinz [Official Video] -2013 new***

WIZKID ft FEMI KUTI (NEW SONG 2013)

DIAMOND PLATINUM NDANI YA THE SPORAH TV SHOW UK (2013)

 

baada ya kupia show kadhaa ndani ya London, UK, Diamond alipata nafasi ya kufanya mahojiano na kipindi cha TV cha "The Sporah Show"
 

 

NEW SONG FROM BEN POL-JIKUBALI (2013)