SEARCH FOR ANYTHING IN THIS BLOG
Friday, 19 July 2013
KWA WANAFUNZI WA ICT (RUCO) AMBAO WAKO FIELD(SEM II& SEM IV)WANAWEZW KUJAZA HAPA TAARIFA ZAO
![maincampus](http://www.ruco.ac.tz/wp-content/uploads/maincampus-300x195.jpg)
Dear Students,
For the sake of easy communication and better handling of PT which is to commence next month, your details are needed. The main information needed is your name, program of study, phone number and email address. The phone number will be used by university supervisors to reach you when the supervision time comes. The emails are needed for creating a special group email to enable easy communication between the coordinators and you (students).
Therefore, you are required to provide those details to us as soon as possible. It would be better if this is done before going for the holiday.
CLICK HERE TO ENTER THOSE DETAILS!
Mwanafunzi wa Darasa la tatu auawa kikatili.
![](http://www.itv.co.tz/media/image/18july-mtoto1.jpg)
Mwanafunzi wa darasa la tatu katika shule ya msingi Kizega wilayani Iramba Bi. Mariamu Alphonce mwenye umri wa miaka kumi ameuwawa kikatili kwa kukatwa shingo na kucharangwa kwa panga sehemu mbalimbali za mwili wake na kaka yake bwana Elibariki Alphonce.
Akieleza kwa uchungu baba wa mtoto huyo bwana Alphonce Msengi
amesema alipofika nyumbani kwake majira ya saa kumi na moja jioni
alikuta damu nyingi na alipo angali vizuri alimuona mtoto wake Mariamu
Alphonce akiwa amekatwakatwa kwa mapanga na tayari alikuwa ameshafariki.
Bwana Msengi baada ya kuona hivyo alipiga yowe na walikuja majirani
na watoto na wakamwambia tumemuona mtoto wako Elibariki akiwa na
mapanga mawili akikimbia huku akiwa hana nguo. Wakieleza mwenyekiti wa
kitongoji Bi Vailet Mbigu na mwalimu mkuu wa shule ya msingi Kizega
bwana Elisante Gyuzi wamesema pamoja na shule kuandaa taratibu zote za
mashishi , kijana aliyefanya unyana huo huwa anavuta bangi na mara
nyingi alikuwa akisikika kumtishia kumuuwa baba yake kwa kumkata kwa
panga.
Kwa upande wake kaimu mganga mkuu wa hospitali ya wilaya ya Iramba
daktari Timoth Sumbe amesema wamempokea Mariamu Alphonce akiwa
ameshafariki huku mwili wake ukiwa na majeraha ya kukatwakatwa sehemu ya
shingoni,kichwani.
Akiongea kwa simu kamanda wa jeshi lapolisi mkoani Singida bwana
Godfrey Kamwela amethibitisha kutokea kwa mauaji hayo na jeshi lake lina
endelea kumsaka mtuhumiwa bwana Elibariki Alphonce ambayealitoweka
baada ya mauaji ili aweze kufikishwa mahakamani.
Subscribe to:
Posts (Atom)