kaa tayari kwa blog yangu mpya ya fashion JACK255.BLOGSPOT.COM....

SEARCH FOR ANYTHING IN THIS BLOG

Monday 3 June 2013

KIM NA KANYE WATANGAZA JINSIA YA MTOTO WAO ATAKAEZALIWA JULY MWAKA HUU

Kim Kardashian na Kanye West wanategemea kupata mtoto wa kike.Jinsia ya mtoto ilitangazwa wakati wa msimu mpya wa 8 wa reality show ya "Keeping Up With the Kardashians."

Camera ya kipindi hicho, ilimfata Kim hospitali alipokuwa na appointment na Dr wake, wakati yeye na dada zake Kourtney na Khloe, na mama yake Kris Jenner walijua jinsia ya mtoto huyo

Khloe alitangaza kwenye "Watch What Happens Live" kuwa Kim atajifungua mwezi wa 7. Kilichobaki midmoni mwa mashabiki wa Kanye na Kim ni kuhusu jina la mtoto, na jina la mtoto litaanza na herufi K???

siku ya jumapili marafiki wa Kim na familia yake walikutana kwa ajili ya baby showers ya Kim ambapo pia Kanye alihudhuria.

DR.JOSEE CHAMELEON ATEMBELEA KABURI LA BLUCE LEE

Bluce lee
Kwa kizazi hiki ukiuliza ni nani mkali wa Karate wengi watasemaJackie chane or Jet lee na vijana wadogo wengi watasema ni
 mtoto wa will smith,Jaden smith aka Karate
 kid,lakin ukweli halisi mkali na shujaa wa karate ni
 marehem Bluce Lee aliyefariki  20/july/1973
Story hii haimhusu Bluce lee,inamhusu Mwanamziki tajili East Africa
Jose Chameleon ambaye
 amepata nafasi ya kutembelea na kuweka shada la maua kaburini mwa Bluce lee
Dr.Josee chameleon  akiweka shada la mauwa kaburini kwa bluce leepembeni ni kaburi la Brandon lee,mtoto wa bluce lee aliyefariki akiigiza movie
                                             Nafasi hiyo ameipata aliko nchini marekani
                                kwenye tour yake ya muziki nchini humo  iitwayo "Badirisha tour".

NEY WA MITEGO FT DIAMOND - MUZIKI GANI (OFFICIAL VIDEO)