
Majeruhi wa tukio hilo wakiwa katika hali mbaya..

Waumini
pamoja na baadhi ya wanacchi wakiwa katika hali ya taharuki wasiamini
nini kilichotokea kutokana na mlipuko mkubwa uliotokea asubuhi ya leo.JESHI la Polisi Mkoani Arusha linamshikilia mtu mmoja ambaye anahusishwa na kutokea kwa mlipuko uliotokea katika kanisa la Katoliki la St Joseph Olasiti Arusha leo asubuhi.
Tukio hilo lilitokea wakati Balozi wa Papa kutoka Vatican akizindua Parokia hiyo mpya ya St Joseph Olasiti ya Jijini Arusha.