![]() |
Bluce lee Kwa kizazi hiki ukiuliza ni nani mkali wa Karate wengi watasemaJackie chane or Jet lee na vijana wadogo wengi watasema ni |
mtoto wa will smith,Jaden smith aka Karate
kid,lakin ukweli halisi mkali na shujaa wa karate ni
marehem Bluce Lee aliyefariki 20/july/1973
Story hii haimhusu Bluce lee,inamhusu Mwanamziki tajili East Africa
Jose Chameleon ambaye
amepata nafasi ya kutembelea na kuweka shada la maua kaburini mwa Bluce lee
![]() |
Dr.Josee chameleon akiweka shada la mauwa kaburini kwa bluce leepembeni ni kaburi la Brandon lee,mtoto wa bluce lee aliyefariki akiigiza movie |
kwenye tour yake ya muziki nchini humo iitwayo "Badirisha tour".