kaa tayari kwa blog yangu mpya ya fashion JACK255.BLOGSPOT.COM....

SEARCH FOR ANYTHING IN THIS BLOG

Wednesday 9 October 2013

NI BALAAA....HILI NDO GARI JIPYA LA MTOTO WA BAKHRESA LINAUZWA ZAIDI YA MILIONI 700..SPECIAL KWA AJILI YAKE..


                             Gari aina ya Brabus ambayo inayomilikiwa na mmiliki wa klabu ya Manchester City ya England, imeonekana leo Dar es Salaam, lakini ni mali ya Yussuf Bakhresa, mtoto wa bilionea Mtanzania, Alhaj Sheikh Said Salim Awadh Bakhresa. Vyanzo vimesema Yussuf alitoa oda maalum kutengenezewa gari hili na thamani yake jumla si chini ya dola za Kimarekani 500,000.

Hii hapa mali ya Yussuf Bakhresa



Huyu jamaa ndiye anayeendesha gari la hili la mtoto wa Bakhresa



Angalia alivyotulia ndani ya mzigo wa dola 500,000

No comments: