kaa tayari kwa blog yangu mpya ya fashion JACK255.BLOGSPOT.COM....

SEARCH FOR ANYTHING IN THIS BLOG

Monday 29 April 2013

PICHA MBALIMBALI ZA MATUKIO YA WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA, Mh. Benard Membe leo 29.04.2013 na wanafunzi wa vyuo vya Iringa.



Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw. Benard Membe     leo  29.04.2013,katika  ukumbi  wa St.Dominic mjini Iringa,akieleza juu ya mada ya “MAADILI YA UONGOZI KWA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU|”,wanafunzi mbalimbali kutoka vyuo vya mjini Iringa (Ruaha university collage,Tumaini university na Mkwawa university) waliudhuria kongamano hilo. –habari na simon bango

 Baadhi ya  wachangiaji  wa mada katika  kongamano  hilo la  wanavyuo  Iringa  wakiwa katika  picha ya pamoja na waziri Membe
.
....

No comments: