kaa tayari kwa blog yangu mpya ya fashion JACK255.BLOGSPOT.COM....

SEARCH FOR ANYTHING IN THIS BLOG

Tuesday 24 September 2013

Fiesta shinyanga yafunika..TMK wakiongozwa na Chege na Temba.

nature b4793
kwKundi la Wanaume TMK-Halisi likiongozwa na Sir Juma Nature wakilishambulia juaa la Serengeti Fiesta ndani ya uwanja wa Kambaraje. (HM)

fiesta2 8543e
Mashabiki wakifurahia muziki kutoka kwa wasanii mbalimbali
fiesta 1df6c
Wanaume TMK wakiongozwa na Chege na Temba
linah ebfbd
Linah Sanga akiimba na shabiki.

No comments: