kaa tayari kwa blog yangu mpya ya fashion JACK255.BLOGSPOT.COM....

SEARCH FOR ANYTHING IN THIS BLOG

Friday 7 June 2013

PICHA YA MWILI WA MUME WA MALKIA WA MIPASHO YA TAARAB, KHADIJA KOPA KUZIKWA MUDA HUU BAGAMOYO.

Wakazi wa mtaa wa Magomeni wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa mume wa Khadija Kopa, Jafary Ally ambaye ni Diwani wa CCM kata ya Magomeni wakati wakielekea makaburi kwa ajili ya shughuli za mazishi.