kaa tayari kwa blog yangu mpya ya fashion JACK255.BLOGSPOT.COM....

SEARCH FOR ANYTHING IN THIS BLOG

Thursday 3 October 2013

DUDE ABAMBWA AKIWA NA KIDOSHO

Stori: Shakoor Jongo
STAA wa sinema za Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ juzikati alinaswa na kamera  ya Amani akiwa na kidosho ndani ya gari tayari kwa kwenda kusikojulikana.
Dude alikutwa akiwa na ‘mzigo’ huo Mlimani City, jijini Dar ambapo mastaa wengi huenda eneo hilo kujiachia. Kidosho huyo alijulikana kwa jina moja la Fetty.
“We vipi na hiyo kamera yako kwani kuna kosa gani mi’ kupanda gari moja na Dude? Nioneshe sheria ambayo hairuhusu mwanamke na mwanaume kuwa katika gari moja, isitoshe Dude ni ‘director’ (mwongozaji sinema) wangu katika filamu ninayoindaa,” alifululiza kusema mrembo huyo wakati wanaondoka.

No comments: