kaa tayari kwa blog yangu mpya ya fashion JACK255.BLOGSPOT.COM....

SEARCH FOR ANYTHING IN THIS BLOG

Tuesday, 4 June 2013

MWILI WA ALBERT MANGWEHA ULIVYOAGWA JANA NCHINI SOUTH AFRICA-tar 03.06.2013Ngwair-SA
Mwili wa Marehemu Ngwair utawasili leo jijini Dar Es Salaam na kuagwa na fans, marafiki na ndugu katika viwanja vya leaders club, kinondoni kabla ya safari ya kwenda Morogoro, ambapo atazikwa huko karibu kabisa na kaburi la baba yake mzazi …
R.I.P Albert Mangweha.

http://3.bp.blogspot.com/-fEBbDwsJ_Ro/Uays31Bfq9I/AAAAAAAAVnA/_1dsQyyqK4o/s640/IMG-20130603-WA006.jpg
Shughuli ya kuaga mwili  wa mangwea nchini South Africa.....